
SERUM
COSRX The Niacinamide 15 Serum(MADOA NA MAFUTA)
TSh 65,000
NIACINAMIDE 15% SERUM Ni serum yenye kiwango kikubwa cha Niacinamide, ingredient inayojulikana kwa kusaidia kuboresha mwonekano wa ngozi yenye matatizo kama: ✨ Mafuta mengi usoni — husaidia kudhibiti mafuta yanayozidi kwenye ngozi. ✨ Mabaka meusi na madoa ya chunusi — husaidia kufifisha mwonekano wa dark spots na kufanya ukubwa sana. rangi ya ngozi ionekane sawa zaidi. ✨ Ngozi yenye texture mbaya — husaidia ngozi kuwa na mwonekano laini na wenye glow. 🔥 Kwa kifupi: kama unahangaika na mafuta mengi, mabaka, madoa ya chunusi na ngozi isiyo na texture nzuri, Niacinamide 15% inaweza kuwa serum ya kuzingatia kwenye skincare yako. 📩 Unataka kujua kama inafaa kwa aina ya ngozi yako? Tuandikie.


